SWAHILI CONVERSATION


Prepared by: Marco Henry

The following below are some predictable conversations that can be spoken by Swahili people. They are provided and translated in English just for practice. Enjoy them.

Table of Contents

    1.  Self- Introduction
    2. A predictable conversation when strangers meet
    3. At the market
    4. At Bars and Restaurant
    5. At the shop
    6. At the bank
    7.  
Self- Introduction

Simple Self-introduction

Jina langu ni Marco…..My name is Marco.

Ninatokea……I’m from……(Insert your  country).

Nina miaka…………………...I’m….years old.

Mimi ni Mwalimu wa Kiswahili…………...I’m the Swahili teacher.

Ninapenda kucheza mpira wa miguu………………….I like to play soccer

Nimeoa na nina watoto 3………………I’m married and I have 3 children

Pia, ninapenda kusoma vitabu na kusikiliza muziki………I also like to read books and listen to music

Ninafurahi kufika hapa…………………….I’m glad to get here………. (Insert the country/place)

Pia ninafurahi kukutana na wewe/nyinyi……….Also, I’m glad to meet you

Asante………………………………………… Thank you


A predictable conversation when strangers meet

Marco;  Karibu!...............................Welcome

Matt; Asante!...................................Thank you

Marco; Samahani, Jina lako nani?..................Sorry!  What’s your name?

Matt; Jina langu ni Matt……………………..My name is Matt

Marco; Unatokea wapi?................................Where are you from?

Matt; Natokea Marekani?..............................I come from USA

Marco; Una umri gani?....................................How old are you?

Matt; Nina miaka…………………………I am … years old

Marco; Unafanya kazi gani?........................What do you do?

Matt; Mimi ni mwanafunzi………………….I am a student


At the market

Still  at home discussing with your friend

Marco: Leo ninahitaji kwenda sokoni kununua mahitaji mbalimbali……..Today I need to go to the market to buy different needs.

James: Sawa, saa ngapi utaenda sokoni?.....................Ok, at what time will you go to the market?

Marco: Nitaenda baadae……………………………..I will go later

James: Je, unahitaji nikusindikize?.....................Do you need me to  escort you?

Marco: Hapana, nitaenda kununua vitu vichache……..No, I will go to buy few things

James: Sawa, tutaonana baadae………………………..Ok, to meet you later

Marco: Sawa……………………………………………Ok


After Arriving at the Market,

Muuzaji (Seller): Karibu kaka…………….Welcome brother!

Marco: Asante dada, habari gani?.................Thank you sister! How are you?

Muuzaji (Seller): Nzuri, nikusaidie nini?...................Fine, What can I help you?

Marco: Ninahitaji kununua mchele kilo 5, ndizi 5, nyanya 10, maziwa pakiti 2, chumvi pakiti 1, na majani ya chai pakiti 1. Jumla ni kiasi gani cha fedha?.......I need to buy, 1kg of rice, 5 bananas, 10 tomatoes, 2 packets of milk, 1 packet of salt, and 1 packet of tea leaves. How much total money?

Muuzaji (Seller): Sawa, subiri kidogo, ngoja nijumlishe……………Ok, wait a moment, let me add up.

Marco: Sawa………….Ok

Muuzaji (Seller): Jumla ni Shilingi 10,500/= (Elfu kumi mia tano)………The total is Tsh 10,500/= (Ten thousand 5 hundred)

Marco: Sawa, chukua hii hela………………………………Ok, take this money

Muuzaji (Seller): Asante!, tafadhali usiondoke,  subiri chenji yako……….Thank you! Please, don’t    leave, wait for your change

Marco: Sawa………………………ok

Muuzaji (Seller): Chukua hii chenji yako……………Take this your change

Marco: Asante!, kwaheri!..........................Thank you! Goodbye!

Muuzaji (Seller): Sawa, Karibu tena………………...Ok, welcome again

Marco: Asante!, nitakuja tena wiki ijayo……….Thank you! I will come again next week


At  the Bars and Restaurant

A predictable conversation

Mhudumu (Waiter/ress): Karibu……………Welcome

Mteja (Customer): Asante………………….Thank you

Mhudumu (Waiter/ress): Nikuhudumie nini?................What can I serve you with?

Mteja(Customer):  Ninahitaji wali sahani 1, nyama ya kuku, mboga za majani, ndizi 1, na  maji ya baridi…………………………….I need 1 plate of rice, chicken meat, vegetables, 1 banana,  and  1 bottle of cold water.

Mhudumu (Waiter/ress): Jumla ya pesa ni shilingi 15,000/= (Elfu kumi na tano)…….The total money is Tsh 15,000/=(Fifteen thousands)

Mteja (Customer): Hakuna tatizo, chukua hii hela……………………………Don’t worry, take this money

Mhudumu (Waiter/ress): Sawa, subiri kidogo………………………………….Ok, wait a moment

Mteja (Customer):  Sawa………………………………………….Ok

Mteja (Customer): Oooh! Chakula chako ni kitamu sana……………….Oooh! Your food is  so delicious

Mhudumu (Waiter/ress): Karibu tena………………………………….Welcome again


At the shop

Muuzaji (Seller): Karibu……………………………Welcome

Mnunuzi (Buyer): Asante…………………………..Thank you

Muuzaji (Seller): Ningependa kukuhudumia!……………………I would like to serve for you!

Mnunuzi (Buyer): Ninatafuta nguo………………………I’m looking for the clothes.

Muuzaji (Seller): Nguo gani?..........................................What kind of clothes?

Mnunuzi (Buyer): Ninahitaji suruali 1 na shati 1………………….I need 1 trouser, and 1 shirt.

Muuzaji (Seller): Unahitaji matirio gani?....................... What kind of materials do you need?

Mnunuzi (Buyer): Ninahitaji matirio ya pamba……………I need cotton materials

Muuzaji (Seller): Unataka suruali ya rangi gani?.....................What trousers’ color do you need?

Mnunuzi (Buyer): Bluu………………………………………..Blue

Muuzaji (Seller): Je, shati?..................................................About shirt?

Mnunuzi (Buyer):Kaki……………………………………Khaki

Muuzaji (Seller): Unavaa saizi gani?...................................What size do you wear?

Mnunuzi (Buyer): Suruali saizi 34, na shati midiamu……………… 43 size of trouser and medium for shirt

Muuzaji (Seller): Chukua hizi na ujaribu katika chumba hicho ……Take these, and test in that room

Mnunuzi (Buyer): Zinafaa, ni bei gani?...................They befit, what’s the price of these?

Muuzaji (Seller): Jumla ni shilingi 30,000/= (elfu thelathini), suruali ni shilingi 20,000/= (elfu ishirini), na shati ni shilingi 10,000/=(elfu kumi)……………….The total is Tsh 30,000/=, the trouser is Tsh 20,000/= and the shirt is Tsh 10,000/=

Mnunuzi (Buyer): Sawa, chukua hela hii …………..Ok, take this money

Muuzaji (Seller): Asante…………………………………..Thank you

Mnunuzi (Buyer): Kwaheri…………………………………Goodbye

Muuzaji (Seller): Karibu tena……………………………….Welcome again


At the bank

A predicable conversation

Keshia (Cashier): Karibu………………………..Welcome

Mteja (Customer): Asante………………………………………Thank you

Keshia (Cashier): Nikusaidie nini?.............................What can I help?

Mteja (Customer): Ninahitaj kubadili fedha…………………… I need to change the money

Keshia (Cashier): Unahitaji kubadili fedha gani?............What money do you need to change?

Mteja (Customer): Ninahitaji kubadili dola ya Marekani…………….I need to change US dollar?

Keshia (Cashier): Dola ngapi?...........................How much dollars?

Mteja (Customer): Dola 100…………………………………100 Dollars

Keshia (Cashier): Tafadhali!, unaweza kunipatia hizo dola………Please!, would you give me such dollars

Mteja (Customer):Chukua hizi………………………………………Take these

Keshia (Cashier): Subiri kidogo…………………Wait a moment

Mteja (Customer): Sawa……………………………………….Ok

Keshia (Cashier): Tayari, chukua hela zako…………Already, take your money

Mteja (Customer): Asante…………………………………………..Thank you

Keshia (Cashier): Karibu tena………………….Welcome again

Mteja (Customer): Kwaheri…………………………………Goodbye